mtoto wa miaka 6 aolewa

Lakini nasikia hata marehemu mtume alioa bint wa miaka9.
Kwani nayo ilitokana na umaskini wa wazazi au ni vipi!?
Wafuasi wa Paul mna manneo mengi sana...People love Paul because they hate the teaching of Jesus Christ.

Mgefata alicho kisema Yesu msinge leta joke za kijinga kwa Prophet Muhammad.
 
Reactions: Sal
Lakini nasikia hata marehemu mtume alioa bint wa miaka9.
Kwani nayo ilitokana na umaskini wa wazazi au ni vipi!?

Alimuoa akiwa na miaka 6 na alipofikisha miaka 9 ndo alishiriki naye tendo la ndoa. alikuwa anamjaribisha kwa vidole vyake mtume wa waislamu. Kitendo hicho kiliaribu kizazi chake na hakupata mtoto wake wa kuzaa!! so sad!!
 
Wafuasi wa Paul mna manneo mengi sana...People love Paul because they hate the teaching of Jesus Christ.

Mgefata alicho kisema Yesu msinge leta joke za kijinga kwa Prophet Muhammad.

Kipi kilianza kati ya Mohamed na Jesus!!??? Msijidanganye eti Yesu alikuwa Muislam.
 
na aliyemuoa ana umri wa miaka mingapi? inatia huruma sana
 
Wafuasi wa Paul mna manneo mengi sana...People love Paul because they hate the teaching of Jesus Christ.

Mgefata alicho kisema Yesu msinge leta joke za kijinga kwa Prophet Muhammad.
Kwani hii ni joke?
 
Kwa sheria za sasa hivi hapa TZ.. huyo mtume alikanajisi hako katoto na alitakiwa afungwe kifungo cha maisha na viboko 12 i.e angefia gerezani

hakika mtume alifanya jambo baya sana.. Na labda ndio sababu wafuasi wake hawaoni hatari ya jambo hilo na ndio maana wanaliendeleza.
 
Kipi kilianza kati ya Mohamed na Jesus!!??? Msijidanganye eti Yesu alikuwa Muislam.
FYI Paul never met jesus, as the christian movement started after Jesus died....Kwa hio hamna ujanja hapo :biggrin1:

Jesus was not a christian, he never asked any one to become christian.
 
Reactions: Sal
Alimuoa akiwa na miaka 6 na alipofikisha miaka 9 ndo alishiriki naye tendo la ndoa. alikuwa anamjaribisha kwa vidole vyake mtume wa waislamu. Kitendo hicho kiliaribu kizazi chake na hakupata mtoto wake wa kuzaa!! so sad!!

ok nimeshaunganisha dots kumbe hata mtume nae alioa katoto ka miaka 6.. Basi hapa hakuna cha kushangaza inachopaswa huyo muoaji nae asubiri huyo mtoto afikishe miaka 9 ndio amuingilie ili kukamilisha maandiko
 
Kwani hii ni joke?
Si kweli kabisa hayo ni maneno ya wakristo tu na hamna dalili zozote zile, ni sawa sawa na nyimbo zenu za kanisani, ndo mlivyo kazi zenu kutunga uwongo kama mlivyo tunga Christmas mkasema ndo siku alizaliwa Yesu wakati hamna dalili zozote zile .

The real age of Aisha was 18 or 19 at the time the marriage was consummated.
 
Haya ndio madhara ya imani za dini za hovyo.
'
Kama kiongozi wa dini anaedaiwa kuwa ni mfano wa kuigwa alimuoa binti wa miaka 9 unadhani wafuasi wake watafanyaje?
 
Hao hapo wapo na wake zao. Happily married!
Chezea Afghan weye.
 
Hujui imani yako. Ndo kwanza nakusikia wewe hii kitu.
 
Sidhani hata aliyefungisha hiyo ndoa ni timamu wa akili!

Inasikitisha sana kuwa na wazazi wanamna hii wenye kudiriki kufanya huu ukatili kwa mtoto mdogo kiasi hiki!

Hakika huyo mtoto lazima awe mkatili sana! Aiseeeee

Najima......Najma
Kaburi........Kabul
Afughanistan......Afghanistan
Sawa jamani........tumeelewana.......?
 
Reactions: Sal

Well said!
 
Mkuu kama hiyo story siyo ya kwako uliyoitengeneza kufikisha ulichokusudia ebu weka link uliopata hizo habari.

yakweli mkuu nadhani kuna watz wenzangu wameona pia kupitia star tv ilipo unganishwa na bbc dira ya dunia.
 
Hujui imani yako. Ndo kwanza nakusikia wewe hii kitu.
Ki vipi sijui imani yangu hamana kitu cha kumkosoa Prophet Muhammad mtabaki kutunga uwongo tu, tazama video hio uone dalili za ukweli
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…