Mtoto wa miaka 2½ hataki kula

Mtoto wa miaka 2½ hataki kula

Labda ameshiba. Pia sometimes ukiwa na stress hamu ya kula inakata. Dogo atakuwa na mawazo huyo
 
Upungufu wa madin chuma (Iron) na Zinc husabisha mtoto kutopenda kula na Kusababisha kupungua Uzito.

Lishe Tips
🔸🔸MFANO WA RATIBA YA MTOTO WA MWAKA 1-3🔸🔸
➡asubuhi anapoamka.(maziwa ya mama,maziwa ya ngombe au fomula(maziwa ya kopo)kikombe 1
➡saa tatu asubuhi. (Breakfast.. uji wa nafaka 1,2 au 3)(product ya ngano mfano. Kipande cha mkate,chapati n.k)
➡kabla ya mchana ..saa 5 had 6.(juisi,tunda la kupondwa,mtindi. Matunda changanya na mtindi au maziwa saga,)
➡ chakula cha mchana ...saa 7 au 8.(chakula kizito. Mfano. Wali,ndizi,mbatata,boga,butternut swuash,ugali wa dona.samaki,kuku,nyama,maharage,njegere. n.k.. matunda na mboga za majani.......)hakikisha mtoto anapata mlo wenye virutubisho vyote.
➡saa kumi jioni...(juisi,smoother,matunda tofauti tofauti(fruit salad),mtindi,maziwa.
➡saa moja usiku.(dinner).....chakula kama cha mchana. Waweza mbadilishia aina nyingine.
➡kabla ya kulala mpe maziwa au juisi. Maziwa ya mama,fomula,maji ya kunywa. Mtoto akishiba vizuri analala vizuri pia.
Ñb....
➡mtoto chini ya miaka miwili hakikisha ananyonya vizuri pale anapohitaji.
➡matunda na mboga za majani ni muhimu sana kwa mtoto.
➡usisahau kumpa maji safi ya kunywa.
➡nawa mikono kabla ya kuandaa chakula cha mtoto.
➡andaa chakula cha mtoto kwa style ya kumvutia ale.
mwandalie mtoto chakula kwa style ya kuvutia ili avutiwe kula.
 
Nashukuru kwa mchango wako nitafanyia kazi
Upungufu wa madin chuma (Iron) na Zinc husabisha mtoto kutopenda kula na Kusababisha kupungua Uzito.

Lishe Tips
[emoji842][emoji842]MFANO WA RATIBA YA MTOTO WA MWAKA 1-3[emoji842][emoji842]
[emoji654]asubuhi anapoamka.(maziwa ya mama,maziwa ya ngombe au fomula(maziwa ya kopo)kikombe 1...
 
Asante mkuu
Watoto wengi husumbua kula kwasababu ya ratiba mbaya ya wazazi kwa watoto,kutopangilia aina za vyakula na mara nyingi kumlisha mtoto aina moja ya chakula kila siku...
 
Back
Top Bottom