Mtoto wa miaka 16 Mwenye watoto watatu

Mtoto wa miaka 16 Mwenye watoto watatu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
223074_257308894294698_5757016_n.jpg
 
Hii nimeishuhudia mwenyewe katika utafiti fulani niliofanya karibuni....................
 
ni wapi huko tz au??? na mtoto wake wa kwanza ana miaka mingapi? hee hii ni janga la taifa
 
Yote maisha,kila binadamu na aina ya maisha aliyopangiwa na mwenyezi mungu!


Mkuu Tukutuku, mara nyingi sana Mungu anasingiziwa, hatuna Mungu mwenye ubaguzi kama huo, wengine awapangie maisha bora na wengine maisha ya mashaka kama haya. Mungu wetu hana ubaguzi huo, haya ni mambo yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu na walio kwenye dhamana ya uongozi, hakuna kingine.
 
mkuu tukutuku, mara nyingi sana mungu anasingiziwa, hatuna mungu mwenye ubaguzi kama huo, wengine awapangie maisha bora na wengine maisha ya mashaka kama haya. Mungu wetu hana ubaguzi huo, haya ni mambo yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu na walio kwenye dhamana ya uongozi, hakuna kingine.

kwani kuna sehemu kasema mungu kabagu?me nilivyoelewa ni kwamaba huyo binti kuwa na watotot 3 ndio maisha tayari mungu kampangia...hajasema kwa ubaya.sema wewe unawazia masuala ya wenye mimba ni kiherehere chao....
 
Mbona huyu anamaisha mazuri tu afya safi. Kama nitatizo basi limeanzia kwa Wazazi au Walezi, hakuna shule, hakuna mahitaji ya msingi... Wenye kujaza mahitaji ndiyo ujira wao lkn huyu anaonekana ana Mr. wake ndiyo maisha ya vijiji vyetu
Cha kushangaza mijini wapo walioanza kupata ujauzito kabla hata ya umri wake lkn watoto wao waliishia kwenye dustbin
 
Mkuu Tukutuku, mara nyingi sana Mungu anasingiziwa, hatuna Mungu mwenye ubaguzi kama huo, wengine awapangie maisha bora na wengine maisha ya mashaka kama haya. Mungu wetu hana ubaguzi huo, haya ni mambo yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu na walio kwenye dhamana ya uongozi, hakuna kingine.
Mkuu Kamuzu nimekusoma vizuri,unachokisema ni sahihi kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom