Hahahahaha......! Nimefurahishwa sana na jibu la swali namba 2...! Water formula; (h to o)......!
Ninakushgukuru sana! Kuna mtu alinishauri nimpeleke kwenye Kilimo Kwanza.
Ili akatuunguzie mazao na mbolea?Ninakushgukuru sana! Kuna mtu alinishauri nimpeleke kwenye Kilimo Kwanza.
Hey..muchungaji---pereka hii kitu kwa babu roriondo!!
Hujambo lakini?
Kama yako tu! Niambie kitu Kizuri basi....