Mtoto wa mchina

Mtoto wa mchina

chetuntu

R I P
Joined
Jan 10, 2011
Posts
949
Reaction score
113
Kuna dada mmoja alizaa na mchina, baada ya miezi tatu, mtoto akafariki ghafla. Basi maziko yakaandaliwa . Mama akawa analia kwa uchungu sana, huku akitamka nilijua tu jamani mie! Wamama wakamtuliza wakamuuliza ni nini kwani? Akajibu nilijua vitu vya mchina havidumu.
 
Back
Top Bottom