Mtoto wa masikini wa shule za kata adhidi kuipata adha ktk kuipata mikopo

sirbuff

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
487
263
Naomba nizungumzie hill swala wana jf, nmesoma criteria zitakazo tumika ktk kutoa mikopo kw wanafunzi wa elimu za juu lkn kw mtazamo wangu naona mzigo bdo umemuelemea yule mtoto wa masikini kutoka shule za kata.najua kila mmoja anafaham ukosefu wa maabara na walimu wa science ktk shule zetu na tofauti ktk shule kongwe na private kuwezesha vijana wetu kusoma science,hii inapelekea vijana wengi kusoma masomo ya sanaa ss kivumbi kuingia elimu ya juu pale mpka watakapofikiliwa kw koz zao au bajet ikibaki ndio wao wapewe naona watakaosoma ni kutoka shule za private tu na wenye uwezo basi..Mwl Nyerere alisema ukitaka kumkomboa masikini mpe elimu je hpa tutamkomboa
 
Shangilia si mnashangilia
 
Back
Top Bottom