Mtoto wa mama wa kambo ananitega

Mtoto wa mama wa kambo ananitega

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,997
Reaction score
2,242
Bila salam nataka niwaeleze mtihani nilionao

Babangu ana wake wawili wote anaishi nao katika nyumba mbili sehemu moja na tunaishi vizuri tu kama familia moja kama mgeni huezi jua jinsi tunavopendana ndani ya nyumba hizi,sasa huyu bimdogo alivoolewa alikuja na mtoto wake wa kike alikua ana miaka kama 8 hivi tumeishi pamoja kama mdogo wangu na nishamwakilisha mzee kwenye vikao shule ya msingi kama kaka wa huyu binti,

Sasa sasahivi kakua na kuvunja ungo na ni mzuri mashaallah yupo form three sasa shule anayosoma ni shule ya kata mi nilisoma kama 5 years back ambayo haipo mbali na tunapokaa na hapo shuleni niliacha CV ya kua mtukutu,handsome na kushobekewa na wasichana na mwisho wa siku mi ndo nilikua katika wanafunzi waliofaulu vizuri sana na kuwashangaza walimu.

Sasa huyu dogo sijui kimemsibu nini lakini siku hizi ananiletea mambo ya mitego mitego sana mpaka namshangaa ukicheki namuona kama mdogo wangu na mama yake kama mamayangu kwa jinsi tulivoishi, dogo amekua mi nikija home basi huyo kajileta mara sijui nimfundishe hiki mara hiki lakini namfundisha anayatega manyonyo yake wazi,mara anisifie nilivopendeza au kunyoa na mimi nashndwa kumkazia sababu yeye anajua siri nyingi zangu kama ashawahi nifumania nakunywa pombe(sisi ni watu wa dini sana)akanikaushianishaleta wanawake home yeye akajua akakausha plus alikuja ndgu yao home nikamla akajua na akakausha.

Sasa kumuekea sura ngumu nashindwa naona akijua atalizua lolote na nikaanza kumkwepa sasa leo kanipa daftari lake et niingalie kazi yake ya essay kama kapatia alafu yeye akaondoka nilichokikuta sikuamini,mtoto huyu nyuma kaandika kama mashairi ya kunisifia na mapenzi ambayo na uhuni wangu sijawahi kuyasikia sijui kayapata wapi nilichofanya nimechana hizo karatasi sasa wadau naombeni ushauri nimfanye nini?Na kwanini mimi?Nini kimemshawishi wakati anajua mimi ni kaka yake japo si wadamu?

Japo mimi napenda papuchi ila ya huyu siwezi sababu namuona ni mdogo wangu na nalinda heshima yangu na nataka nilitatue hili tatizo kimakini zaidi na lisifike kwa wazee lisije likaleta uhasama na akaniharibia na mimi.

Please nawaomba ushauri ki ukweli sina raha
 
dhamira yako inaonyesha moja kwa moja unataka kummega huyo binti. Ahya usiondoke subiria baraka za wahuni wenzio watakuja kukushauri nini cha kufanya.
 
My dear vijana wa siku hizi kazi sana...hasa pale pepo la ngono linapokuwa limeshawaingia....

Kaka mtu anashindwa kumwita na kumkanya mdogo wake???? Kisa ana siri zake??? Puliz..siri kitu gani....

Akiwa serious dogo ataacha maana huyo binti ni balehe tu inamsumbua





Ngoja mama zenu waje kuwashauri
cc BADILI TABIA .. King'asti ....
 
Last edited by a moderator:
My dear vijana wa siku hizi kazi sana...hasa pale pepo la ngono linapokuwa limeshawaingia....

Kaka mtu anashindwa kumwita na kumkanya mdogo wake???? Kisa ana siri zake??? Puliz..siri kitu gani....

Akiwa serious dogo ataacha maana huyo binti ni balehe tu inamsumbua

kumkanya na kua serius naweza,ila reaction yake baada ya hapo ndo naihofia
 
Ubazazi utakaomfanyia mdogo wako, watafanyiwa binti zako mara 5 zaidi., kwanza it seems wewe ni 20-ish, mdogo wako below 18 years old, unachezea kufuli la jela wewe.
 
Nakushauri umfukue uvungu huyo mdogo wako wa kike, yani umle tigo, huyo siyo ndugu wako wa damu ubuntuX
 
Last edited by a moderator:
kumkanya na kua serius naweza,ila reaction yake baada ya hapo ndo naihofia

Kwa hio www unataka tukuambienkuwa umle mdogo wako
Haya kule na ukichelewa tu utakuta mshua keshapita zamani. Wewe toa toa mimacho tu.
 
Usimguse, akikuzulia soo mruke futi mia. Tena utamsokomezea soo kabisa kuwa alikutaka ukamkataa akaahidi kukuzushia soo,
Kaa mbali nae mana hatokawia kukuzushia umembaka mkibaki wawili,
 
Kaka Usjaribu Kamwe Kumfunua Mdogo Wako, Tafuta Sku Mwite Utoke Nae Kakae Nae Open Place, Kisha Mkanye Tabia Yakujilengesha Nakujitongozesha Kwawanaume, Namwambie Kama Ukijagundua Anaendelea Utaitisha Kikao Chawazazi Kumsema, Kumbuka Wewe Nikakake Milele, Nasku Wazazi Wenu Wametoweka Duniani, Wewe Ndo Utaekt As Father Kwafamilia Yenu, Usiache Tamaa Zamwili Zikuendeshe Umwasi Mungu, Tena Usiwazie Et Usipomfunua Atakusemea Maovu Yako, Kuwa Mwanaume You Are Nolonger Mvulana Bwana
 
Me nimekupa baraka zote,we mtafune tu,maana hakuna namna.
 
Back
Top Bottom