Mtoto wa kike Jicho!

kuna mshikaji kaniambia polisi huyo..yupo central ya kibaha maili moja..
 
Nini umuhimu wa hilo jicho la mtoto wa kike?
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kama hawa tunasema KANYAGA TWENDE maana ukiwasimamia utajakuta mifuko yote iko nje!
 
ha ha ha ha.... nilikomaa ndo mana nafaidi, guess what? sasa hivi namwona wa ovyoooo, nikupe sub?

Ushahidi wa kimazingira unaonesha wote tunakula kwa macho, tena kupitia picha...hiyo picha aliyokaa kwenye kiti kajibetua kingonongono sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…