Mtoto wa kike Chemical na hit single ya Sielewi

Mtoto wa kike Chemical na hit single ya Sielewi

huy dem nilikuwa namuona chuo udsm xem yuko rafu flan vibukta tu muda mwingi na visendo vyak huk vinywele vidred vilivyokosa ushirikiano bt nikamckilza sema yuko poa kw kuchana

kuna dem mwengin pia anachan shida anaitwa @c_rex tanzania yuko njian

Ana sababu zake za kuvaa sandals muda wote,muulize atakuelezea mkuu.
Nilimuelewa before na nitaendelea kumuelewa.
Sielewi...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kuna kitu kipya katoa sasa hivi chorus anaimba mwenyewe natafuta jina la wimbo niu-download ila sijalipata. Mwenye kujua jina ya wimbo huu pls.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom