Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 28, 2015 #21 Sawa nimekuelewa
T Travisy Senior Member Joined Nov 6, 2015 Posts 175 Reaction score 60 Nov 28, 2015 #22 Nenda.singida mkuu.ukishindwa nenda tabora wala usipate tabu wamejaa tele huko
Mnyabwilo JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 720 Reaction score 256 Nov 28, 2015 #23 habari ya hapa said: Aiseee kwann usiote kuoa mmakonde au mkwere hata mdigo, sasa Wataolewa na nani hawa Click to expand... Hahahahahaha...hapo kwenye mkwere umenikumbusha Mr Vasco da Gama aiseee maana anapenda kukaaa juu kama popooooo
habari ya hapa said: Aiseee kwann usiote kuoa mmakonde au mkwere hata mdigo, sasa Wataolewa na nani hawa Click to expand... Hahahahahaha...hapo kwenye mkwere umenikumbusha Mr Vasco da Gama aiseee maana anapenda kukaaa juu kama popooooo
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,386 Reaction score 580 Nov 28, 2015 #24 Nauli yako tu hadi syria/lebanoon utawapata.Anzia facebook. ya Arabia Micheweni Pemba said: Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu. Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu. Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe mwanamke mweupe. Najua wengine mtanisema vibaya ila hizo ni ndoto zangu. Tafadhali kama kuna mtu mwenye hivo vigezo aupoze moyo wangu. Wasalam. Click to expand...
Nauli yako tu hadi syria/lebanoon utawapata.Anzia facebook. ya Arabia Micheweni Pemba said: Wakubwa Shikamooni wadogo Habari zenu. Ningependa leo niseme ukweli wangu kabla sijaenda kuzimu. Cha mno nilichonacho ndani ya moyo wangu ni kuoa mke mwenye asili ya uarabu.namaanisha asiwe mwanamke mweupe. Najua wengine mtanisema vibaya ila hizo ni ndoto zangu. Tafadhali kama kuna mtu mwenye hivo vigezo aupoze moyo wangu. Wasalam. Click to expand...
Micheweni Pemba JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 351 Reaction score 180 Nov 29, 2015 Thread starter #25 Ndo hivo tena.napenda nioe mwanamke mwenye sifa hizo.
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Nov 29, 2015 #26 Nenda Muhoro, Kilosa na Shinyanga, wako wa kutosha. Ukishindwa huko, nenda Syria, Wapo kibao tu hawana wa kuwarescue na machafuko.
Nenda Muhoro, Kilosa na Shinyanga, wako wa kutosha. Ukishindwa huko, nenda Syria, Wapo kibao tu hawana wa kuwarescue na machafuko.
Super human JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,147 Reaction score 752 Nov 29, 2015 #27 nenda IS kule Syria
BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,770 Reaction score 6,241 Nov 29, 2015 #28 Mimi nataka mdigo nimuonje nasikia wanajua mambo sana,wasambaa wazigua na wabonndei hamajui lolote.kama kuna wadigo sehemu tuelekezane wakuu.
Mimi nataka mdigo nimuonje nasikia wanajua mambo sana,wasambaa wazigua na wabonndei hamajui lolote.kama kuna wadigo sehemu tuelekezane wakuu.
Magisha JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 617 Reaction score 498 Nov 29, 2015 #29 Endela kulala uote, ukiamka usisahau kutupa mrejesho
masanjamkandamizaji Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 171 Reaction score 72 Nov 29, 2015 #30 Ahahaaaaaaaaa ni shigdaaaaaaaaaaaa
lutemi JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 1,750 Reaction score 1,397 Nov 29, 2015 #31 Mmasai kiboko
deshoko JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 257 Reaction score 138 Nov 29, 2015 #32 Kweli kazi unawaza kuoa mwarabu hapo ndo utaona utofauti ya waafrika na wazungu