Mtoto wa kambo

Mtoto wa kambo

Dah! Aisee

Moja ya janga kubwa ambalo mwanaume anaweza kukutana nalo ni kuzaa nje ya ndoa tena na mwanamke mashenzi(mtanisamehe kwa hili tusi ila ndio sahihi) kama huyo.I know exactly what u er going through sababu I have been there japo sijaoa bado.Yani ukiwa na moyo mwepesi unaweza kukufulu Mungu na ukaamua kutokujali na kuendelea na maisha yako kivyako.Hamna kitu kinachokera kama mtu kumtumia mtoto kama fimbo,ni ufinyu wa kufikiri na kukosa roho ya kimungu.

Hapo bwana suluhisho ni baba,muweke kitako mume wako na uwe serious mwambie asimame kama baba na apige marufuku mtoto kwenda kwa mama yake,na ikiwezekana hameni mnapoishi huyo mwanamke asijue mnaishi wapi na msiwe na mawasiliano naye ya aina yoyote.Msipokuwa na roho ngumu na maamuzi mazito mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom