Mtoto wa Gaddafi achiwa huru na wanamgambo wa Abu Bakr al-Siddiq baada ya kumshikilia kwa miaka 6

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
DCB8KtUW0AEByhP.jpg

Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa pili wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi anadaiwa kuwa huru baada ya kuzuiliwa kwa kipindi cha miaka sita.

Kuna wasiwasi huenda hatua hiyo ikatikisa zaidi hali ya kisiasa na kiusalama nchini Libya.

Saif al-Islam anadaiwa kuachiliwa huru baada ya kupewa msamaha.

Ndiye aliyependelewa na babake kuwa mrithi wake na amekuwa akizuiliwa na kundi la wanamgambo katika mji wa Zintan kwa miaka sita.

Wanamgambo hao wa Abu Bakr al-Siddiq Battalion walisema aliachiliwa huru Ijumaa lakini bado hajaoneshwa hadharani.

Taarifa nchini Libya zinasema kwa sasa amo katika mji wa Bayda, mashariki mwa Libya, kwa jamaa zake.



====
Saif al-Islam Gaddafi, the son of slain Libyan leader Muammar Gaddafi, has been released from prison, according to fighters who control the facility.

A statement from the Abu Bakr al-Siddiq Battalion, a militia which controls Zintan, a mountainous region southwest of the capital Tripoli, said Saif al-Islam was released late on Saturday.

The most prominent of Gaddafi's sons, Saif al-Islam, 44, was captured in Zintan in November 2011 as he was fleeing to neighbouring Niger after opposition fighters seized Tripoli.

View image on Twitter
DB-y7Q0U0AAf7Ju.jpg:large


Follow
SaadAbedine

✔@SaadAbedine



[HASHTAG]#Gaddafi[/HASHTAG] son Saif al-Islam "freed & no longer in [HASHTAG]#Zintan[/HASHTAG]", statement by [HASHTAG]#Libya[/HASHTAG]'s Abu Bakr al-Siddiq battalion


Saif al-Islam, the most prominent of Gaddafi’s eight children, was sentenced to death in July 2015 by a court in Tripoli in a mass trial of former Gaddafi government officials.

He is wanted by the International Criminal Court on charges of war crimes and crimes against humanity.

The commander of the Abu Bakr al-Siddiq Battalion, Ajmi al-Atiri, was set to release a video statement explaining the details of the release.

Since Gaddafi's four-decade rule ended in 2011, Libya has struggled to establish basic institutions and rule of law, with militias and former fighters challenging the authority of the weak central government.

Source: Al Jazeera News
 
Utamsikia kakimbilia US, France, UK, Germany, Canada au Sweden kuomba hifadhi. Hutomsikia kaenda Saudia au Iran; never. Anyway, pole zake Dr. Saif ila atambue huu ni utawala mwingine sio wa baba yake.
 
Haujaelewa kilichoandikwa? alikamatwa akiingia Niger sio US au France!
Endelea kuota baada ya kuachiwa ataelekea ukimbizini Niger! Hiyo ilikuwa tu njia ya kutoroka Libya baada ya maeneo mengine vikiwemo viwanja vya ndege kuwa chini ya adui.
 
Utamsikia kakimbilia US, France, UK, Germany, Canada au Sweden kuomba hifadhi. Hutomsikia kaenda Saudia au Iran; never. Anyway, pole zake Dr. Saif ila atambue huu ni utawala mwingine sio wa baba yake.

Mbona mama yake Safia na dada yake wapo Oman ? Wacha kasumba hizo......
Sio kila mtu ana njaa ya kwenda ulaya....
 
Haujaelewa kilichoandikwa? alikamatwa akiingia Niger sio US au France!
Wewe ndio hujamuelewa jamaa, yeye anaongelea kuwa baada ya kuachiwa ataenda kuomba hifadhi sio alikamatwa akiwa anaelekea wapi
 
Nimemuelewa na hadi katikati ya mstari lakin amebugi nikuulize wewe uliyemuelewa, Familia iliyobaki ya Ghadafi inaishi wapi?
sijui iko wapi wewe ulipo bugi nikumlisha maneno kwamba alikamatwa niger na sio france wala Us Anakodai mtoa post
 
sijui iko wapi wewe ulipo bugi nikumlisha maneno kwamba alikamatwa niger na sio france wala Us Anakodai mtoa post
Sijamlisha maneno punguza ukilaza nilimaanisha kama anaenda ulaya kwa nn alikua anakimbilia Niger badala ya kuruka tu direct
 
Back
Top Bottom