Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Kamati ya roho mbaya naona mnajiwakilisha
 
Acha wivu. Tofautisha wanasiasa (pesa ya msimu) vs wafanyabiashara (pesa za wakati wote)
 
Kwa nini sherehe isingeanza masaa manne kabla ya ule muda wa kuanza waliopanga?
 
Mzee unaongelea ndoa za namna hii lakini mfano wako mmoja?!
Kuna tofauti kati ya mali za msimu & za kudumu
 
Wasukuma exposure tunayo bagheshi tatizo sio watu wa showoffs ndio maana huwezi kuta harusi zetu zina publicity kiivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma mwenzako kaonyesha ushamba wa hali ya juu, kaenda ziara Selou kakuta hoteli ya kitalii chumba usiku mmoja milioni tatu eti anaagiza TAKUKURU NA TRA wachunguze, wtf, yani hajui kabisa na hana exposure, aende Arusha akaone hoteli milioni 6 na wachagga wanalala, mna ushamba sana, angalia kangi lugola na wenzake
 
Wewe ni mchaga naona unatuchokoza wasukuma. Nitamwacha dada yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…