Mtoto wa Beach

Kifuniko

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
97
Reaction score
18
Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
 
mmh unazo life saving facilities ama bouyants?????????
 
hiyo 1 mil unanipa mimi kama asante kwa kukupa raha au ndio ya kugongea menu?
 
Natafuta mtoto wa kwenda nae beach weekend hii, awe anajua kuogelea na matumizi yake yasizidi milioni moja kwa siku 2
.
We kifuniko chupa zipo wazi kazifunike unafanya nini humu Jf. Isitoshe humu Jf hamna watoto, wapo shule.
 
Shida yako ni kuopoa kutoka humu JF au umekuja kuuza sura uonekane na wewe unazo?
 
hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA...
 
hivi wewe ni kifuniko cha nini?...isije ikawa kile cha maji ya kutoka naniii....au kifuniko cha DENGELUA...
Neno kifuniko lina maana nyingi mojawapo ikiwa biki...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…