Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,532
- 3,537
Anasema:
1. Ni mwaka mmoja sasa, hakuna ripoti yoyote juu mauaji ya kikatili ya baba yao yaliyofanywa na Polisi Wasiojulikana, waliomshusha kwenye bus wakaenda kumtesa na kisha kumuua kikatili na kuutupa mwili wake kama wa mbwa ktk pori la Ununio
2. Wanashangaa sana kwa sababu wanaona wazi kuwa, kumbe katika nchi hii sasa Kuna sheria za aina mbili; zinazowahusu tabaka la watawala na matajiri na zile zinazowahusu kina sisi tabaka masikini la watawaliwa
3. Hii inathibitishwa na uchunguzi wa mauaji hayo yaliyotokea zaidi ya mwaka sasa toka kwa JESHI LA POLICE kutokukamilika hadi sasa na hakuna taarifa nyingine wanayopata kama familia toka TanPol
4. Haya mambo yabaumiza. Tuliowapa madaraka ya utawala wanadhani wananchi ni wajinga, hawaoni au hawasikii. Matukio ya namna yalianza kidogo kidogo kwa Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 na baadaye wengine wengi kutekwa na kuuwawa na hitimisho ni mauaji ya HALAIKI yaliyotokea 29/10 na siku 3 au 4 baadaye
5. Ametoa ushauri kwa serikali na wenye madaraka (japo katia shaka kama wataelewa na kuuzingatia) kuwa, HAKI ndio mzizi na dawa ya kuepuka mabalaa. Aidha ametaka kila aliyehusika kuua na kuteka awajibike au awajibishwe kisiasa na ksheria
#Kwa taarifa kamili, mrazame na msikilize mwenyewe kwenye video hiyo
==============
Salaam... Nina ujumbe mfupi kwenda kwa Rais na Waziri Mkuu. Naomba msaada wako kusogeza uwafikie. Link za kupakua zipo hapo chini.
Asante.Kwa zaidi ya mwaka mmoja, hatujasikia chochote kutoka kwa mamlaka yoyote.Video hii ni ujumbe wangu kwa Rais na Waziri Mkuu.Sihamasishi maandamano. Sihamasishi vurugu. Huko nyuma, niliwapigania viongozi hawa - nikawaita wapinzani "wapumbavu."
Leo, napoteza imani. Si kwa sababu wanaharakati walinishawishi - bali kwa sababu mfumo unatuangusha.Uongozi unaokubalika unapiganiwa na watu wenyewe. Hakuna haja ya kuwahamasisha. Lakini kama kikundi kidogo kinaweza kuleta "taharuki" nchi nzima - tujue kuna tatizo kubwa zaidi.Lazima turudi nyuma kidogo.
Lazima tukiri. Hakuna taifa lililoweza kuponya majeraha yake bila kukiri makosa yake. Rwanda. Sierra Leone. Afrika Kusini. Historia inatufundisha.Amani si ukimya. Amani ni haki.