Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Katoto kazuuuri mashallah! Umenikumbusha wimbo wa baby by me naupenda acha kabisa.
Hasa Ne-Yo anavyolalamika na mzee mzima 50 anavyomwagika!
Haya bwana ngoja tujifunze na sisi.
mkwe wangu huyu
nnayo bonge la demu miss world 2o3ohakikisha unatoa brand inayofanania level hiyo.. Au tayari unayo?? Teh teh
nnayo bonge la demu miss world 2o3o
akimkosa huyu si mbaya nikijiweka hapo.. Mimi nitasubiri tu hakuna shida
hhhhhaaaaaaayhhaaaa
ujana ule na naniii
tafuta hela km mengiii bas
Katoto kazuuuri mashallah! Umenikumbusha wimbo wa baby by me naupenda acha kabisa.
Hasa Ne-Yo anavyolalamika na mzee mzima 50 anavyomwagika!
Haya bwana ngoja tujifunze na sisi.
Jitahidi huyu aje kutoa mahari kule mgombani..
hahahahaha Mengi is my role model kwahiyo kwa hilo usijari..
Ili mradi usinifukuze tu nikija..
Uko sawa but usirudie kumlinganisha 50 Cent na Pdiddy/Jay z, wale wanaligi yao wenyewe ni kama ambavyo hutakiwi kuwafananisha wachezaji wengine wa mpira na Ronaldo/Messi kwa miaka hii
nnayo bonge la demu miss world 2o3o
itategemea umekuja kujaje
ukija na lamboghrni ntakupa hadi shikamooo mkwe...!!
shoping dubai nkatae wanangu wanitukane....