Mtoto umleavyo huko uswahilini!chumba kimoja!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,947
Reaction score
9,460
Mtoto alikua anabishana na mama yake. MTOTO:Mbona jogoo huwa anamkimbiza kuku jike? MAMA:Kamuibia chakula chake.
MTOTO:Mbona mbuzi dume huwa anamdandia jike?MAMA: Kachoka kutembea anataka kubebwa.
MTOTO:Kwahio baba anavyopandaga juu yako ucku alikuwa anajifunza kutembea kama mjusi?..MAMA: He! We mshenzi toka hapa!
 
Hahahaaaa! Watoto wa bongo fleva ni hatari tupu
 
hahahahahahaha....watoto wa jakaya hao, kazi kwelikweli.....
 
anakuwa kachoka kulalia godoro dodoma anataka godoro chapa mtu!!!!
 
Tena wanaigiza wamelala kumbe shuka katia tundu anaona unavyo kukuruka!
 
Siku hizi wazazi wanafanya mambo yao mchana watoto wakiwa shule.
 
Siku hizi wazazi wanafanya mambo yao mchana watoto wakiwa shule.
mzee mchana ngumu si mnakuwa kwenye pilikapilika za kusaka manoti,dawa ni kuwaamisha chumba watoto hakuna ujanja
 
Wadosi wao wanapeana zamu kwa kuwa wako wengi kwenye room, wengine wanaenda Coco Beach wakati waliobakia wakisaga rumba kwa room. Waswahili wangewatuma watoto wakaangalie TV mbali wakirudi tayari...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…