Mtoto umleavyo huko uswahilini!chumba kimoja!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mtoto alikua anabishana na mama yake. MTOTO:Mbona jogoo huwa anamkimbiza kuku jike? MAMA:Kamuibia chakula chake.
MTOTO:Mbona mbuzi dume huwa anamdandia jike?MAMA: Kachoka kutembea anataka kubebwa.
MTOTO:Kwahio baba anavyopandaga juu yako ucku alikuwa anajifunza kutembea kama mjusi?..MAMA: He! We mshenzi toka hapa!
 
Tena wanaigiza wamelala kumbe shuka katia tundu anaona unavyo kukuruka!
 
Siku hizi wazazi wanafanya mambo yao mchana watoto wakiwa shule.
 
Wadosi wao wanapeana zamu kwa kuwa wako wengi kwenye room, wengine wanaenda Coco Beach wakati waliobakia wakisaga rumba kwa room. Waswahili wangewatuma watoto wakaangalie TV mbali wakirudi tayari...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom