Mtoto ndo huyo kapatikana

Mtoto ndo huyo kapatikana

Kapatikana vipi sasa, hiyo gari nayo imepatikana?
 
nampenda mwanangu kuliko lolote nimeepata huruma sana afadhali hawajamdhuru ila muwe karibu na mtoto maana anaweza pata matatizo ya kisaikolojia
 
Msaada, hii story ni Kama sijaielewa vizuri..... Ni katika mazingira gani hawa watu walimuacha huyu mtoto kwenye gari????
 
Toeni taarifa maelezo ya kutosha,sio hivyo nusunusu
 
Huyu mtoto magauni wanayomvalisha yanafanana kwahiyo lazima ilikuwa rahisi kumpata
 
71be2ea6ac954422925f8dff35fd8d69.jpg
Yallaaaahhh
 
Back
Top Bottom