Mtoto ndo huyo kapatikana

Mtoto ndo huyo kapatikana

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,513
Reaction score
15,154
71be2ea6ac954422925f8dff35fd8d69.jpg
 
What about the car, au ndo limeshatokomea
 
Wekeni taarifa kamili jamani, JF inahadhi kubwa sana si ya kureport mambo kwa namna hii, wekeni mambo wazi, kwamba baada ya juhudi hizi na zile, tumefanikiwa kumpata mtoto ktk mazingira haya, na hali yake iko hivi na vile, bado tunaendelea kufatilia gari ama kitu gani sijui, sio mbaya mkasema mmefanikiwa hayo kwa msaada wa ima Polisi au Raia mwema.

Vile vile taarifa zenu ziwe zina baraka ya Kamanda wa Polisi ktk eneo lenu au mtu yeyote wa serikali ili ziwe na nguvu kwetu. Maana nimeona hapo wengine wanasema picha zinatumwa na wahalifu.
Tunashindwa kuelewa kipi ni kipi...
 
Hizi habari za kikanjanja thus why hakuna maelezo yeyote...
 
Back
Top Bottom