JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,200
- 11,350
Wakuu juzi kati nilipata safari ya kwenda mafunzo nje ya nchi -(Kwa wazungu), wakati nikiwa kule nikakutana na mtoto mmoja nilishakutana nae kwenye kikao hapa bongo, yeye huko ndiko kwao. Alikuwa ananitembeza sana nikimaliza tu mafunzo jioni ananipitia tunaenda maeneo tofauti tofauti. Na Bahati nzuri sana yeye alikuwa likizo. Tukitoka matembezi ananirudisha hadi hotelini kwangu hadi chumbani mida ya saa nne saa tano. Kuna baridi sana ila akitaka kuondoka alikuwa ananikumbatia na kunibusi shavu na kunambia take care John(Mfano wa jina) afu anaondoka.
Yule mtoto kweli ni mzuri - Aina Kama balozi wa Canada kwa walio muona leo.
Mwanamme nilikuwa Napata tabu ila nikawa najikaza kumwambia ukweli kwa misingi ifuatayo.
1. Je atanionaje kama nikimwambia nataka to-do? Si nitakuwa nimeliaibisha Taifa langu kwa kupenda mbunye.
2. Akikataa kabisa nitakuwa hari gani na kwa alivyo nikaribisha kwa bashasha na kunijari hivi.
3. Je hata wao ni kama hapa bongo - yaani akiingia gheto unaweza mtongoza huku ukimuangusha kitandani? Akipiga kelele nimembaka nitarudi je bongo?
Ilibidi nijikaze kisabuni tu.
Hapa ninapoandika kuna mchongo mwingine mwezi wa pili naenda huko na nimemutumia wasapu. jamani mnipe akili nifanye je ili niliwakilishe taifa langu vizuri huku nikiwa na huyo bibiye?
Je ananipenda hataki tu kunambia?
NB. Sitaki kusema sehemu nchi yenyewe kwa sababu mabosi wangu wanaweza wakawemo humu.