doktamathew
Member
- Mar 12, 2013
- 21
- 43
Ndugu yako zurri anaweza kuwa mmoja wao.Hivi wale wasioamini Evolution hili watalielezeaje? Au haihusiani na sisi kuwa nyani hapo mwanzo?
Kipindi tupo form one tulikuwa tunaitwa mikia
MZAZI AMBAE UMEPATA MTOTO MWENYE MKIA USIOGOPE,TULIA NA JUA SIO JAMBO LA KUTISHA WALA KUHATARISHA MAISHA YA MWANAO... MPE USHIRIKIANO DR WAKO NA MAMBO YATAENDA SAFI SANA.. JE WEWE UKIPATA MTOTO MWENYE MKIA UTAFANYAJE KWA MARA YA KWANZA??? View attachment 1408901
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kushangaa,nilitaka kusema ngoja aje Mshana Jr.Whatever the case.. This is abnormal
Jr[emoji769]
Nilitaka kushangaa,nilitaka kusema ngoja aje Mshana Jr.
Kama utapenda kua nao sawa tu hutapata tatizo lolote la kiafya, kama utaona hautakua na amani basi utakatwa tu bila shida yeyoteLakini kamempendeza...[emoji2]
Kwani akikatwa atadhurika mbona mtu anakatika miguu au mikono na kuishi tu huku akibaki mlemavu?
Hapo Evolution unaiweka wapi ?Hivi wale wasioamini Evolution hili watalielezeaje? Au haihusiani na sisi kuwa nyani hapo mwanzo?
Umeandika kiswahili lakini sijaelewa.Hapo Evolution unaiweka wapi ?
Nitajie misingi kwayo Evolution imejengeka.
Yeyote anayeamini evolution namuona kama anafikiri pafupi mno . Yaani hana ile critical thinking kwa kuwa naweza mpangua kwa maswali machache tu .ninachoamini mimi ni adaptation na hakuna evolution .Hivi wale wasioamini Evolution hili watalielezeaje? Au haihusiani na sisi kuwa nyani hapo mwanzo?