Hii itakua video ya sumaku ila wanataka tu akili zetu ziwe kwao nadhani itakua ni mipango tu
Kwahiyo kaka huyu unamfananisha na vee money alokonda km mjusi kafiri?!
Nanani??katoto kazuri njoo huku uone unavyosifiwa
Mleta uzi kamwaga sifa zako mkuu, kwani hujaona!Nanani??
Wote warembo hapo jux ndio vile chakula nahuyo ndio vile destur zao so wote wanashea bwana haoHaka kadada kana weupe mzuri maseeee
Hembu cheki hivyo vitako vilivyokaa poa aseeeeee!!
View attachment 1151639
😂😂😂😂Mleta uzi kamwaga sifa zako mkuu, kwani hujaona!
Mbona video Imesha toka ..wale tayari wamesha bwagana kweli ..juzi jux alikuwa na huyo manzi katika birthday party ya demu wa diamond na mama yake pale mlimani ---so bado una amini kuwa ni kick
Mimi nilikuwaga na Tarajia kuona walipofikia kwa sababu Vanessa ni maarufu zaidi kuliko jux - so kwa namna fulani Jux alikuwa anapata changamoto kubwa sana '' toka kwa watu maarufu mbali mbali haswaa watu kama kina reekado banks sidhani kama wa-memuacha salama V

Wote warembo hapo jux ndio vile chakula nahuyo ndio vile destur zao so wote wanashea bwana hao
Reekado na yule nyovest je?
Haya mkuu ila mi bado navuta subra mana bana siku hizi wasanii wanambinu nyingi ya kutafuta hela wameshajua wabongo tunapenda drama sana ila yote yanawezekana uenda kuna project mana naona mpk kamikaze yumo ngoja tuone
Chakuraaaa kitambo sanaHivi ni kweli juma ni chakuraaaa?
Duh hii sasa ya ki hater, roho mbaya aisee...Hivi ni kweli juma ni chakuraaaa?
Ohooo.Curves zipo kimtindo
Ova