hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,116
Mbona video Imesha toka ..wale tayari wamesha bwagana kweli ..juzi jux alikuwa na huyo manzi katika birthday party ya demu wa diamond na mama yake pale mlimani ---so bado una amini kuwa ni kick
Mimi nilikuwaga na Tarajia kuona walipofikia kwa sababu Vanessa ni maarufu zaidi kuliko jux - so kwa namna fulani Jux alikuwa anapata changamoto kubwa sana '' toka kwa watu maarufu mbali mbali haswaa watu kama kina reekado banks sidhani kama wa-memuacha salama V

Hii itakua video ya sumaku ila wanataka tu akili zetu ziwe kwao nadhani itakua ni mipango tu