Mtoto mdogo chini ya mwaka 1 anapimwaje body mass index yake?

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
1.Mtoto mdogo chini ya mwaka 1 anapimwaje body mass index yake?

2. Je Kuna utofauti wowote kati ya BMI na hizi nutritional status height for age, weight for height and weight for age?

Naomba kuwasilisha!
 
Watoto chini ya miaka mitano mara nyingi hawapimwi body mass index, badala yake nutritional status zao zinakua assessed kwa kutumia vipimo vya height for age (hii hutumika kupima kama mtoto ana stunting-udumavu ambao husababishwa na chronic malnutrition), pia kuna weight for height ambayo hutumika kuassess kama mtoto ana acute malnutrition
 
Na ile weight for age inamaanisha Nini?
 
Na ile weight for age inamaanisha Nini?
Weight for age, kama inavyojieleza inapima uwiano wa uzito wa mtoto kulingana na umri wake. Hivyo basi mtoto akiwa underweight inawezekana ikawa ni either sababu ya "wasting" (ambayo ni acute loss of weight kutokana na sababu ambazo si za muda mrefu-acute), au pia inaweza kutokana na sababu za muda mrefu "chronic weight loss" ambayo ndio stunting; au pia inaweza kuwa sababu ya vyote viwili.

Hivyo basi, mtoto akiwa underweight kutokana na kipimo cha "weight for age", haionyeshi specifically shida ni nini (acute VS chronic), ili uweze kujua kuwa shida ni nini exactly, inabidi upime height for age (hii itakuambia kama mtoto ana stunting-chronic malnutrition), au weight for height (hii itakuambia kama mtoto ana "wasting"-acute malnutrition), au ana mchanganyiko wa vyote viwili.
 
Weight for age, kama inavyojieleza inapima uwiano wa uzito wa mtoto kulingana na umri wake. Hivyo basi mtoto akiwa underweight inawezekana ikawa ni either sababu ya "wasting" (ambayo ni acute loss of weight kutokana na sababu ambazo si za muda mrefu-acute), au pia inaweza kutokana na sababu za muda mrefu "chronic weight loss" ambayo ndio stunting; au pia inaweza kuwa sababu ya vyote viwili...
Asante sana Dr, nimekuelewa vizuri sana, Mungu akubariki
 
images (18).jpeg
 
Watoto chini ya miaka mitano mara nyingi hawapimwi body mass index, badala yake nutritional status zao zinakua assessed kwa kutumia vipimo vya height for age (hii hutumika kupima kama mtoto ana stunting-udumavu ambao husababishwa na chronic malnutrition), pia kuna weight for height ambayo hutumika kuassess kama mtoto ana acute malnutrition
Dr wasalaam! Factors gan zinafanya kaz kwa pamoja kuleta matokeo kweny nutrition status ya mtoto, Assist me please Dr. Wansegamila
 
Back
Top Bottom