mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,161 Reaction score 802 Jun 29, 2012 #1 anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 Jul 2, 2012 #2 ninakushauri mpeleke Hospitali iliyo karibu na anapoishi huyo mama mwenye mtoto mdogo pole sana.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Jul 2, 2012 #3 mansakankanmusa said: anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana Click to expand... Tumbo kujaa gesi ni kutokana na jinsi mtoto anavyowekwa wakati wa kunyonyeshwa haitakiwi kuruhusu hewa kuingia
mansakankanmusa said: anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana Click to expand... Tumbo kujaa gesi ni kutokana na jinsi mtoto anavyowekwa wakati wa kunyonyeshwa haitakiwi kuruhusu hewa kuingia
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,161 Reaction score 802 Jul 5, 2012 Thread starter #4 asante mkuu,