Huyu dogo ukikutana nae bila make up na hayo makorokocho hugeuki nyuma. I mean sio mbovu ila hastui ni wa kawaida plus too short. But akitupia, wololooo ni balaa!
Aaaaaaaargh! yaani waafrika kwa kupenda appearance za watu hatujambo! sasa siku mbili tu alizokaa huko ndio hadi kuvaa hayo sijui ndio mawigi ya kizungu na kukaa uchi? this is non sense:crazy:
mwanamuziki wa kizazi kipya linah akiwa katika pozi kwenye upigaji wa picha wa hapa na pale downtown dc kwa ajili ya kutafuta picha itakayotumika kwenye cover ya album yake