mii naiita njozi tu kama unavyofikiri kuwa mimi naota..huyu mtoto linah nikimrushia new i pad 3. na i phone 4S ataruka kweli? NOPE...sasa wewe mlavumbi sijui mpiga box utampa nini?
Teenagers bwana kazi kufikiri kuhonga hivyo vitu ndi big deal
Watu tunatoa lesux kwa machangu na vogue kwa wake
Kamuulize wema habari za C.T.U atakwambia hizo gadets wazosemea hazifiki hata usd 7000 ambayo humli hata malaya kama cherokee d ass

mwee cherokee Dass mi namfaudu kwenye mi movie tu..kudadadeki yaani weekend kutwa nashinda naangalia nikituko nje macho mekunduuuu utadhani nilikuwa napuliza moto kudadadeki ....chezea cherokee
utaendelea kula kwa macho.....yaani na wewe haka ka jolly bebe nako unaona ka shori kakali??? aiseeee kweli majuu most ya mademu ni kama power mabula shauri ya kubeba box.....
haka ka shori ni kafupi sijapata ona......
dah man natumia phone kwa sasa na niko downtown
Ngoja nikifika home nitachukua picha toka kwa laptop yangu ninazo then nitaziweka
Niambie wataka pcha ya nani kati ya hao wote sababu siwezi weka picha ya kila mtu