Mtoto kuuma/ kusaga meno usiku

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
64
Nini husababisha mtoto mdogo kuuma meno usiku? (yaani anakuwa kama anatafuna kitu wakati huo hana kitu chochote mdomoni ila unasikia kama meno yanasagana). Je, nini tiba yake?

Tafadhari Madaktari nisaidie maana hili ni tatizo linalomsumbua sana mtoto wangu wa miaka mitatu.
 
Pole sana, mimi sio daktari kitaaluma ila nina uzoefu kama mzazi kuhusiana na hilo tatizo, mwanao atakuwa na minyoo, mpatie dawa ya minyoo na hilo tatizo litakwisha mara moja.
 
pole sana, mimi sio daktari kitaaluma ila nina uzoefu kama mzazi kuhusiana na hilo tatizo, mwanao atakuwa na minyoo, mpatie dawa ya minyoo na hilo tatizo litakwisha mara moja.

ni kweli kabisa

anza na dawa za minyoo... Asipoacha then angalia mwenendo wake kama kuna dalili yoyote ya msongo nk
 
Pole sana, mimi sio daktari kitaaluma ila nina uzoefu kama mzazi kuhusiana na hilo tatizo, mwanao atakuwa na minyoo, mpatie dawa ya minyoo na hilo tatizo litakwisha mara moja.

Magehema this is great kwani i really used to associate this na mambo ya ajabu ... unajua tena ukilelewa na bibi kijijini ... atajuaje kama ni dalili za minyoo other that associating it with superstitions??
 
cant be minyoo, it could be a form of convulsions ie degedege. Consult a dr udescribe vizuri what exactly happens
 

The article below may answer your question:

 
Pole sana, mimi sio daktari kitaaluma ila nina uzoefu kama mzazi kuhusiana na hilo tatizo, mwanao atakuwa na minyoo, mpatie dawa ya minyoo na hilo tatizo litakwisha mara moja.
Rafiki yangu anasaga meno toka 1992 mpaka leo na minyoo hana.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…