fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
Habari za jioni wana jukwaa, naomba msaada kwa mwenye experience na hili suala. Mtoto wa mpangaji wangu ana umri wa miaka mitatu kasoro na ni wa kike hapendi kabisa kuvalishwa pichu yaani wakati wa kumvisha mpaka akamatwe kwa nguvu, na pia mkizubaa kidogo mnakuta tayari alisha ivua, na pia akichukia hasira zake zinakwenda kwenye kuvua pichu na kuitupa mbali
Ni mkazi wa arusha so suala la kusema labda joto ndio linasababisha hakuna, naombeni mtazamo wapendwa kwa hili suala ili kama sio kawaida na ni majanga tuanze kulitibia mapema
Ni mkazi wa arusha so suala la kusema labda joto ndio linasababisha hakuna, naombeni mtazamo wapendwa kwa hili suala ili kama sio kawaida na ni majanga tuanze kulitibia mapema