Mtoto kutokwa na uchafu mweupe ukeni

Mtoto kutokwa na uchafu mweupe ukeni

Ingiliti

Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
36
Reaction score
60
Habari zenu members wa Jf,

Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila baada ya muda flani, nimejaribu kumpeleka hospital mbalimbali naambiwa U.T.I anapewa dawa na muda mwingine sindano lakini tatizo linajirudia tatizo linaweza kuwa nini?

Naombeni ushauri, mana najua Jf kuna madaktari bingwa wapo humu, Mara ya mwisho nguo zake zilifuliwa na Dettol ili kuuwa vimelea lakini tatizo limerudi tena, naomba ushauri.

Asanteni!.
 
Yaweza kuwa UTI sugu na imefubazwa kwa vidonge visivyokidhi vigezo vya mashambulizi dhidi ya vijidudu.

Badilisha eneo ulikompeleka, wamchukue vipimo vikubwa vya uti na achomwe sindano. Vidonge kwa uti sugu za siku hizi vinadunda.

Naongelea uzoefu-yalishanikuta. Vinginevyo mimi ni mkulima wa viazi vitamu.
 
Asante kwa ushauri! Vipimo vikubwa amepima vyote pale boch hospital na mwananyamala bado shida iko palepale inajirudia hadi utra sound na masindano ya kutosha kachoma mpaka huruma
 
Kaka Kuna hospital inaitwa kwa buruda,ipo mbagala (NI maarufu Sana )...Kuna kituo kinaitwa mission ukiwa unaelekea mbagala hapo ukishuka NI buku mpaka getini!!Nenda utanikumbuka
Ok, nilikwenda pale Mara tatu akapimwa hadi utra sound akapangiwa sindano lakini bado tatizo limerudi kuna sister wangu ndio alinielekeza yuko kituo kinachofuata baada ya kwa buruda kuna kilima hivi karibu na kituo cha bodaboda na bajaji
 
Mpeleke kwa Dr. wa watoto na apimwe minyoo ya aina mbalimbali.
 
Habari zenu members wa Jf,

Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila baada ya muda flani, nimejaribu kumpeleka hospital mbalimbali naambiwa U.T.I anapewa dawa na muda mwingine sindano lakini tatizo linajirudia tatizo linaweza kuwa nini?

Naombeni ushauri, mana najua Jf kuna madaktari bingwa wapo humu, Mara ya mwisho nguo zake zilifuliwa na Dettol ili kuuwa vimelea lakini tatizo limerudi tena, naomba ushauri.

Asanteni!.
Pole sana kwa kuuguza mwanao. Sehemu za Uke za mtoto kama walivyo watu wazima huwa pia zinashambuliwa na Vimelea vya fangasi za ukeni maarufu kama Candidiasis.

Uchafu unaotoka ukeni na sio njia ya mkojo hiyo sio UTI.

Baadhi ya madaktari wanaweza kuchanganya kati ya vitu hivyo viwili. Na kitendo cha kumpa antibiotic ndio huzidisha zaidi candida spp kuzaliana kwa wingi.

Kwakuwa mimi ni mkulima wa Dumila nakushauri nenda tena kwa Daktari mweleze kuwa nimepata idea kutoka kwa Rastaman kuwa hiyo ni candidiasis.

Na zaidi kwa uhakika afanyiwe Vaginal Swab wet preparation test. Atapewa dawa baada ya wiki moja njoo uishukuru JFs media.
 
Asante kwa ushauri
 
Habari zenu members wa Jf,

Kuna shida inatanitatiza kwa mtoto wangu wa kike mwenye umri wa miaka mitatu, ni kwamba amekuwa na kawaida ya kutokwa na maji meupe kama maziwa sehemu zake za siri kila baada ya muda flani, nimejaribu kumpeleka hospital mbalimbali naambiwa U.T.I anapewa dawa na muda mwingine sindano lakini tatizo linajirudia tatizo linaweza kuwa nini?

Naombeni ushauri, mana najua Jf kuna madaktari bingwa wapo humu, Mara ya mwisho nguo zake zilifuliwa na Dettol ili kuuwa vimelea lakini tatizo limerudi tena, naomba ushauri.

Asanteni!.
Mpeleke hospitali apimwe kwanza kabla ya kumtibu.
Vaginal Swab hufanyika ili kupata Specimen hivyo hakikisha siku unampeleka usimnawishe ili majimaji yakachukuliwe.
 
Mkuu Mimi ni medical personnel
Huyo mtoto ana fungus wanaitwa candidiasis
Achana na hizo antibiotics
Nenda pharmacy nunua fluconazole tabs na gynazole pessaries zile za kuweka uken
Mtoto atapona kabsaaa

Hakikisha ukifua nguo zake za ndani anika juan ziue fungus
Pole sana kwa kuuguza ndugu Ingiliti. Zingatia huu ushauri kutoka kwa mtaalamu.
 
Mkuu Mimi ni medical personnel
Huyo mtoto ana fungus wanaitwa candidiasis
Achana na hizo antibiotics
Nenda pharmacy nunua fluconazole tabs na gynazole pessaries zile za kuweka uken
Mtoto atapona kabsaaa

Hakikisha ukifua nguo zake za ndani anika juan ziue fungus
Nakazia hapa ahakikishe ananunua chupi mpya kwaajili ya mtoto anapokua anampatia hizo dawa ulizomwambia....sababu kumvalisha chupi yazamani yale maambukizi yanamrudia tena......pia ajitahidi kumlinda uyo mtoto isije kua kuna mtu mzima anamuingilia bila wazazi kujua .....maana
 
Nakazia kuwa asipuuzie ukeni ni eneo nyeti asiposhughulikia haraka ataharibu future ya mtoto mazima
 
pole mkuu...

zingatia ya fuatayo...
  • mafuta ama cream anazopakwa. hakikisheni hayana estrogen (soma label kuhakiki) kwani estrogen hubadilisha hormones na hii ni dalili moja wapo
  • infection za aina ya strep. hospitali huwa wanafanya kazi nzuri ila saa zingine sio mbaya kuwaambia mawazo yako ama waende a step zaidi ya kuchukua culture waangalie nini kipo kwenye huo uchafu
  • pia wakati wa kuoga, usafi ni muhimu sana kwani saa zingine tissues hasa toilet paper hua zinakuwa zinabaki. muwe makini sana wale wanaahusika na usafi wake.
zingatia sana swala la culture, natumai hospitali unayoenda watakuwa na utaalam wa kufanya uchunguzi huo
 
Mkuu Mimi ni medical personnel
Huyo mtoto ana fungus wanaitwa candidiasis
Achana na hizo antibiotics
Nenda pharmacy nunua fluconazole tabs na gynazole pessaries zile za kuweka uken
Mtoto atapona kabsaaa

Hakikisha ukifua nguo zake za ndani anika juan ziue fungus
Ingiliti umesoma hapa.

Pili, feedback dogo anaendeleaje.

Asante..
 
katika comment yako zingatia neno uliloliweka" MTOTO"
Nilipokuwa mtoto nikiumia baba ndo alikuwa Ana gundua na kuninunulia dawa au kunipeleka hospital.mimi mwenyewe nilikuwa naona kawaida kuwa kidonda kitapona chenyewe.
Ila akiniona tu nimeumia.utamsikia mguu utakatwa huo ukiumia useme
Unamchunguza Sana huyo mtoto huko chini kwanini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom