Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
Labda watt wanatofautiana. Pengine atachelewa kusimama. Wangu mm ana miezi mitatu ukimshika kumsimamisha anakaza miguu yake.
Mwaka mmoja na miez 3 mwishon kwenda wa 4kaka wakwako ametembea mwaka mmoja na miezi mingap
Wa kiume ndgNi wa kike au wa kiume, maana mara nyingi wakiume wanachelewa.
Nashida na wew ulifanikiwa wangu nae ana hiyo changamotoMtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza