N Ndege Tausi JF-Expert Member Nov 12, 2013 992 472 May 17, 2016 #1 Mtoto ana umri wa miaka minne ana tatizo la kutoka kamasi zito la rangi ya manjano muda wote. Je hilo ni tatizo gani? Naomba Doctor nisaidie tafadhali
Mtoto ana umri wa miaka minne ana tatizo la kutoka kamasi zito la rangi ya manjano muda wote. Je hilo ni tatizo gani? Naomba Doctor nisaidie tafadhali