TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,302
Ushambemenda mkuu,acha hizo mambo mpaka mtoto aache kunyonya au ongea na wabibi wakupe dawa,ukishindwa basi kila baada ya mgegedo mwambie mshikaji ajifute jasho kake kwenyemikono alafu amnyooshe mtoto viungo kwa kutumia hilo jasho lake lililo mikononi