Yani kucha za kubandika ndo zimekutia kiwewe!
kanumba lazima kapumzika kwa amani-what more could he have wanted??
Kuna tetesi kuwa Marehemu Kanumba, Komba, Ridhiwan walikuwa wanakitafuna hichi kitoto.
Mbona wengune mnatiwa viwewe na pafyumu, kofia, kilemba, wanja, vikuku, aina ya mavazi, viatu, kope za kubandika, bangili, heleni, cheni, usafi n.k ... Hivyo vyote si vya kubandika tuu..??!!Yani kucha za kubandika ndo zimekutia kiwewe!
Watani zangu wanyakyusa wanakula kwa ugali huo mtindi...... Hivyo we ukisema wa nini wenzio wanajiuliza wataupata lini.....![]()
MMMMMMMMMMMMMMMMtindiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu MzingaWaswahili wanaema Nzi kufia kwenye kidonda ni halali yake.Nadhani marehemu hajajutia kifo chake huko aliko kama mambo ndo haya