Mi ni uzao wa kwanza na nina miezi minne hivi ila nahisi movements yaani masaa mengi nahisi nikilala ndio anapumzika...je ni kawaida pia au ninakosea kuhesabu miezi?Kwa wewe mwenye mimba ya kwanza utaanza kusikia mimba ikifikisha wiki 24(miezi 5 kuelekea wa 6).wale wazoefu(mimba ya pili au zaidi) wanaanza kusikia mapema zaidi kati ya wiki ya 18-22 hapo.
watu tupo maofisini tunaangalia vitu muhimu sumuulize mke wako akuambie unaogopa nini au anakuendesha kama gariWakuu hongereni kwa mishughuliko ya hapa na pale.wakuu ! Mi nahitaji kujuzwa kuhusiana na hatua za ukuaji wa mimba hasa ni lini mtoto huanza kucheza tumboni.Kama kuna post yoyote inoyo jibu jambo hili naomba kuunganishwa.Nina hamu sana kujuzwa jambo hili hasa ukizingatia shemeji/wifi yenu ni mjamzito,wakuu naomba kuwasilisha.
watu tupo maofisini tunaangalia vitu muhimu sumuulize mke wako akuambie unaogopa nini au anakuendesha kama gari
ambayo ni wiki ya ngapi?Mimi nakumbuka wa kwangu alianza kucheza miezi sita hivi, lkn wataalam watakuja kutujuza.
dalili zake ni zipi kwa mfano?Kuanzia wiki ya kumi na nane ndo mtoto huanza kucheza.
dalili zake ni zipi kwa mfano?
Mama atahisi movements ambazo awali alikua hazisikii,na muda unavyosogea ataendelea kusikia more punches,ingia google utafuta utapata info nyingi sana
nnavoelewa mimba ina phase tatu ya kwanza ni mwezi wa 1-3 hapa mwili unakuwa na mabadiliko sana na pengine kuchagua baadhi ya chakula na ya pili ni mwezi 4-6 ambapo mwili huanza kukop na movement za mtoto huanza na ya tatu 7-9 anaendelea kukua na ancheza kila siku na anapswa kucheza.