Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
saundi zimeniisha haelewi anataka mtoto, naona malezi yatakua ya shida sitaki kutesa kiumbe cha damu yangu. Najua life nililopitia halafu bora zamani kuliko sasa sitaki kumtesa mtoto wa MTU hata kama ananipenda isiwekigezo cha kumchokesha mtoto wa watu

Thread Closed!
tuko twenty twenty wote 20+ yearsThread Closed!
wanawake wa bongo Leo ili uoe lazima utundike kwanza ishakua sheria.Mwambie umeamua kufuata dini hufanyi zinaa mpaka uoe
24plus
sio nivumilie
Una demu mshamba sana.. Hajielewi kabisa, mwache anune km anataka mtoto kwa lazima na haraka mwambie akapewe mimba na mwingine.saundi zimeniisha haelewi anataka mtoto, naona malezi yatakua ya shida sitaki kutesa kiumbe cha damu yangu. Najua life nililopitia halafu bora zamani kuliko sasa sitaki kumtesa mtoto wa MTU hata kama ananipenda isiwekigezo cha kumchokesha mtoto wa watu