nicnic, pole kwa tatizo la mtoto..
Ningependa kuuliza
-Mtoto ameangukia wapi/nini hapo chini?
-Kama mtoto alipoteza fahamu(kama ndiyo, kwa muda gani)?
-Vipi kumeza damu, na ingawa subjective(meno yamelegea kiasi gani)? kukutikisa kwa kuguswa, kula kitu,
Ni vizuri kufika katika HOSPITALI kujua hasa tatizo liko wapi.