Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Ndio unapima kwa mkojo!!Nenda kaulizie famasi watakujuza zaidi!!hicho kipimo kinatumikaje? Au kama vile kile cha ujauzito kwa mkojo?
Je farmacy vipo?

Mafundisho ya ndoa ingebidi yafanyikie hospitali.