Mtoto hatumwi dukani leo;bayern munich vs juventus

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,520
240
Leo ni leo kati ya mafahari wawili,Bayern Munich vs Juventus.Saa 10;45 usiku Ligi ya Mabingwa Robo fainali.
 
Forza Juve! The bianconeri sitasahau 1997 Borrusia Dortmund walipotupiga 2-1 wakabeba ubingwa na Juve ya wakati ule ilikuwa imetimia haswa akina zidane ndani. Sasa leo sio dortmund tena ni Bayern lzm tuwachape hawa ma bavarians
 
Juventus safari imewadia, wakisimulie nyumbani kuwa waliingia robo fainali. Tuliwapenda sana ila kutoka kumewapenda zaidi...
 
Tusiokuwa na SS 3 sijui itakuwaje labda K24 na Moz wanaweza onesha
 
Hawa Juve walitukosea heshima mabingwa watetezi wakatufunga na kusababisha tutolewe awali, leo nawaombea njaa tu!!
 
Forza Juve! The bianconeri sitasahau 1997 Borrusia Dortmund walipotupiga 2-1 wakabeba ubingwa na Juve ya wakati ule ilikuwa imetimia haswa akina zidane ndani. Sasa leo sio dortmund tena ni Bayern lzm tuwachape hawa ma bavarians

Ilikuwa 3-1
 
Juventus safari imewadia, wakisimulie nyumbani kuwa waliingia robo fainali. Tuliwapenda sana ila kutoka kumewapenda zaidi...

Hivi msimu huu Juve kapoteza mechi?
Hivyo vikina Shwaizteiger, Muller na Kloose vilifunikwa na Mzee Pirlo kwenye nusu fainali ya Euro...
So sidhani kama vitakuwa matured leo.
 
Bayern wakimtoa Juve ntajing'ata Pua

mkuu Gang Chomba, viapo vyako mara nyingine ujiangalie. Juve watafudhu kwenda nusu fainali. Kwa kuwa ni timu bora na fitna wanajua! Hapa ni kati ya timu nzuri, (baryen) na timu bora (juve). Naapa mbuzi aning'ate,juve haifungwi na bayern munich.
 
Last edited by a moderator:

Yes hivi ndo viapo vya kiume...
Forza Juve...Forza Italia
 
Last edited by a moderator:
Bayern wakimtoa Juve ntajing'ata Pua

Ushaanza na kauli zako Gang Chomba naona umesogea kwa jirani yako Old Lady,haya hapa sikupingi Juve anaweza kusonga mbele,though matokeo ya leo ndio yatakayomvusha Juve,anatakiwa kulazimisha droo,au ashinde na kama Bayern atashinda basi ashinde ushindi mwembamba na pia muhimu ni away goal
 
Hivi msimu huu Juve kapoteza mechi?
Hivyo vikina Shwaizteiger, Muller na Kloose vilifunikwa na Mzee Pirlo kwenye nusu fainali ya Euro...
So sidhani kama vitakuwa matured leo.

Mkuu subiri utaniambia, safari yao hapa ndio mwisho Juve, Pirlo ameanza kuchoka sasa speed inapungua sana jinsi hizi games zinavyosogea muangalie vizuri utaona.
 
Mkuu subiri utaniambia, safari yao hapa ndio mwisho Juve, Pirlo ameanza kuchoka sasa speed inapungua sana jinsi hizi games zinavyosogea muangalie vizuri utaona.

tangu lini Pirlo alikuwa na spidi?
Huyo Pirlo unaemzungumzia Labda ni Pirlo wa Chanika au wa Kipawa
 
Probable line up...
Buffon
Barzagli,
Chiellini,
Bonucci
L'stiner,
Vidal,
Pirlo,
Marchisio,
Asamoah
Matri,
Quagliarella...

Hii ndo Juventus Torino.
Wajukuu wa Bibi Lavecchia Signora.
Forza Juve, Forza Italy
 
Back
Top Bottom