Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Ushaanza na kauli zako Gang Chomba naona umesogea kwa jirani yako Old Lady,haya hapa sikupingi Juve anaweza kusonga mbele,though matokeo ya leo ndio yatakayomvusha Juve,anatakiwa kulazimisha droo,au ashinde na kama Bayern atashinda basi ashinde ushindi mwembamba na pia muhimu ni away goal
Full Suport kwa jirani...
ni mzee mwenzangu huyu.