abuu msakati
Member
- Jul 22, 2016
- 32
- 11
- Thread starter
-
- #21
alizaliwa na kilo tatu.sasa ivi ana miezi mitatu na nusu ana kilo nneUnataka aongezekw kilo ngapi kwa mwezi?
Alizaliwa na kilo ngapi????
Sasa hivi ana kilo ngapi?
Kama kumbujumhu zangu zipo sawa ninavyofahamu anatakiwa aongezeke gram 400 kila mwezi
ananyonya vizur bila shidaAnanyonya vizuri maziwa ya mama bila kumchanganuishia chochote?
Clinic wanasemajenaombeni mawazo yenu.mtoto wangu hakui/haongezeki uzito wala unene toka azaliwe ana miezi minne sasa
nipo sirias mkuu yasije yakawa mapichapichaninadawa za asili nitafute 0714341044 mtoto atakuwa sawa baada ya wiki mbili
Sasa ulitaka aongzeke kg ngapi pia inategemea mamake anakula nn maana mana ndo anayemrutubisha mtoto km vipi mpr bia mbili daileeeklinik wanasema eti ni hali ya kawaida.maana anaongezeka nusu kilo kila mwezi shida haongezeki
bangi mbichi hiziSasa ulitaka aongzeke kg ngapi pia inategemea mamake anakula nn maana mana ndo anayemrutubisha mtoto km vipi mpr bia mbili daileee
Ni kweli unachokiita bangi hapa ni ninibangi mbichi hizi
ananyonya vizur bila shida
Kama haumwi, hana homa usimpe dawa....unachoweza fanya mnunulie mama yake food supliment mama yake mtoto atazipata thru maziwa....nipo sirias mkuu yasije yakawa mapichapicha
okKama haumwi, hana homa usimpe dawa....unachoweza fanya mnunulie mama yake food supliment mama yake mtoto atazipata thru maziwa....
Yupo nyuma kidogoalizaliwa na kilo tatu.sasa ivi ana miezi mitatu na nusu ana kilo nne
yeah ananyonya vizur na anashiba kabisaYupo nyuma kidogo
Je anashiba
Mama yake anakula chakula bora pamoja na suppliments???
Anapata maziwa ya kutosha.....kama wakatu mwingine ukiona kila wakati mtoto ananyonya ujue hashibi....
Je usiku ananyonya vizuri?
Anashiba?????
Umejuaje anashiba? Umeshawahi kukamua ukapima kwa siku ananyonya mils ngapi?yeah ananyonya vizur na anashiba kabisa
Mbona hupatikanininadawa za asili nitafute 0714341044 mtoto atakuwa sawa baada ya wiki mbili