Mtoto atekwa nyara

TIGOPESA

Senior Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
190
Reaction score
63
Baba kapigiwa simu, Kaambiwa kama wataka mtoto wako lete dola elfu ishirini.
Baba mtu akauliza: Mtoto mnampa chakula?
Mtekaji akajibu: Tunampa.
Baba kauliza tena: Mnampa maji ya kunywa?
Mtekaji akajibu: Tunampa.
Baba kauliza tena: Mnampa pakulala?
Mtekaji kajibu: Ndio.
Baba akasema: Kama ni hivyo, basi njoo uwachukue na ndugu zake waliobaki...
 
maana maisha yalivyomagumu lazima watekaji wamwachie tu
~tena huyo baba naye angeruhusu naye kutekwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…