It's okay Brother, nisamehe mimi ndio sikumalizia, I meant kuna mtu alianzisha uzi juzi hapa akiulizia kuhusu huyu Mshikaji kuwa eti ni motto....Thanks. Upo lakini Mpwa?ooops sorry then
Si kweli mkuu Chinedu Ikedieze (Aki) alizaliwa mwaka 1977 na mwenzie Osita Kenneth Iheme (Ukwa au pawpaw) alizaliwa mwaka 1982Usijidanganyike. Hawa siyo watoto wadodo. Mmoja wapo amezaliwa mwak 1997, mwingine sikumbuki.