GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,282
- 9,285
Mtoto wa wiki moja ameanza kuongea na kutambaa,kitendo hicho kilimfanya mama mwenye mtoto kumwogapa mtoto wake,mama mwenye anadai alibeba mimba hyo kwa miezi 24.
Tukio limetokea karatu maeneo ya sumaye.kuhusu picha inahitaji ridhaa ya mwenye mtoto na kwa sahvi niko mbali na eneo la tukio,ila tangia jana watu wengi walienda kumwagalia hyo mtoto.