Mtoto anarikaruka tumboni

Huyu kiwango chake akacheze ulayaa, baba ke nae kacheza rithaa huko sasa mwanae atacheza priffesional football

baba yake ni nani vile, nimemsahau kidoogo, hebu nikumbushe. Halafu hiyo itakuwa ni mimba yako ya kwanza umesema ukweli.
 
Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe jua. Juzi nilitoka na hsz b wangu tukatembea kwa takribani 3km. nilichoka kweli kweli hadi miguu inaniuma. Kuanzia hapo sasa kababy kanazunguka speed ya ajabu utadhani piranha/samaki japo sipati maumivu. Je hii ni normal?

Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake, docta akawa anamuandikia dawa, baba yake
akatoka nje kuongea na simu. Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini
chini, 'Dokta kwenye dozi andika Fanta Baridi,chips na kuku kila siku kwa siku 30,kutwa
mara tatu'
 
kawaida dada,furahi mimba yako!!pia jtahidi mazoezi ila hiyo dozi ya 3km ni kubwa sana,muanze polepole
 
kawaida dada,furahi mimba yako!!pia jtahidi mazoezi ila hiyo dozi ya 3km ni kubwa sana,muanze polepole

Asante sana. Kumbe nilizidisha na nilipogundua miguu inaniuma saana niksamua kuomba ushauri ksenu wataalam wa mambo haya
 
Hongera mwaya, ni dalili njema mtoto kucheza tumboni, inaonesha kwamba yuko active, na ni hali ya kawaida kabisa, so usihofu
 
Ulikaa tu ndani nae akaamua kutulia tuliii, umetembea nae kaamka kwa kasi. Hivyo jitahidi kufanya matembezi walau kila jioni ili kuongeza uchangamfu wa kiumbe kijacho. Pia itakusaidia hata wakati wa kujifungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom