Asante kwa picha.. so cute Mungu atamlinda na kwa imani atapatikana tu.thank you for all the support Jf members, mtoto bado hajapatikana.
he last time alikuwa nyumbani and kwa bahati mbaya gate lilikuwa wazi, that's when he went missing.
sasa inaonekana aliye mwiba inawezekana kafanya hivyo ili apate hela, lakini inawezekana sasa inakuwa ngumu yeye kumtoa maana anajua atashikwa au hana simu zenu hivyo njia ya mawasiliano inakuwa tatizo, hivyo hapa system ya carrot and stick in bidii itumike, na ikiwezekana search ya nyumba kwa nyumba hapo hapo jirani ifanyike ukiangalia mazingira ya huyo mtoto kupote, wazazi/dada/kaka alikuwa wapi, na ilichukua muda gani mpaka kutambua mtoto kapotea, uhusiano na majirani upoje? je kuna vijana wamtaani wana pita pita hapo au magari.
Tracy u attach wrong picture in a true story! To date Collin is still missingthank you for all the support Jf members, mtoto bado hajapatikana.
he last time alikuwa nyumbani and kwa bahati mbaya gate lilikuwa wazi, that's when he went missing.
mr mlalo its true and we are sory .more than one person has been using this account since it hapend.
Amina yaarabAllah atamlinda.
Asante kwa picha.. so cute Mungu atamlinda na kwa imani atapatikana tu.
Vipi Mkuu, kuna habari yoyote kuhusu mtoto Collins? Najua ni siku nyingi sana tangu lilipotokea hili, natumai mtoto amepatikana.Naomba ukutujulisha habari yoyote (I hope be good news)mr mlalo its true and we are sory .more than one person has been using this account since it hapend.
Vipi Mkuu, kuna habari yoyote kuhusu mtoto Collins? Najua ni siku nyingi sana tangu lilipotokea hili, natumai mtoto amepatikana.Naomba ukutujulisha habari yoyote (I hope be good news)
mammamia,thank you.ila too bad hakuna good news,still missing!
mammamia,thank you.ila too bad hakuna good news,still missing!