mungu baba uliyeumba mbingu na nchi na macho yako yakimtazama kila mmoja,ambaye wajua hesabu hata za nywele zetu na uliyetuchora ktk vitanga vya mikono yako, ninaomba popote alipo mtoto benedicto tungaraza aweze kujitokeza kwa njia yoyote ile na arudi akaungane na familia yake,ninaomba malaika zako wamlinde na mabaya yote na aweze kurudi kwa ndugu zake salama,nashukuru kwasababu umesikia na utatenda,ktk jina takatifu la baba,mwana na roho mtakatifu. Amen!!!