Mtoto aliyepinda shingo nyuzi 180 apata matibabu ya Upasuaji

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,874
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg

Heartwarming story where Indian boy saved by stranger from another continent

13-year-old Indian boy Mahendra Ahirwar whose head hung at 180-degree angle receives life-changing surgery thanks to Julie Jones from Liverpool, UK who raised £12,000 for his treatment
 
Kweli mwenyezi Mungu atukuzwe, mtu unapata kidonda tu unaanza kulalamika wakati kuna wengine wameishi katika hali ya mateso kwa zaidi ya miaka 13. Tushukuru Mungu kwa kila jambo
 
Kweli mwenyezi Mungu atukuzwe, mtu unapata kidonda tu unaanza kulalamika wakati kuna wengine wameishi katika hali ya mateso kwa zaidi ya miaka 13. Tushukuru Mungu kwa kila jambo
Hakika mkuu nalb kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom