I salute you. Pengine mchepuko ulifurahia hiyo hali, si unajua mademu wanapenda sana ushindani wa ajabu ajabu.Mbona hapo kama yule kimada angekuwa na akili ya fasta ilikuwa ni ishu ndogo tu,
Wakati dogo anamkimbilia dady, yule bibie alitakiwa aende, kuanzisha story, shem vip? Mtoto kawamisi baba zake jamani, hamji kumtelembelea , so ingepata pa kumaliziwa.
na unaweza kuta mchepuko ulimuonyesha mtoto baba alipo tehI salute you. Pengine mchepuko ulifurahia hiyo hali, si unajua mademu wanapenda sana ushindani wa ajabu ajabu.
Umeonaeeh!! Hakuna mwanamke ambae anapenda kuwa second best au kukumbatia mto usiku bana.na unaweza kuta mchepuko ulimuonyesha mtoto baba alipo teh
kweli kabisa ila duh mkewe anamaumivu hatariUmeonaeeh!! Hakuna mwanamke ambae anapenda kuwa second best au kukumbatia mto usiku bana.
Simpatii picha, kamalizia mwaka vibaya na kauanza vibaya pia. Ila kwakua yeye kwa sasa ana upper hand anaweza kutake advantage na kuanza kuset rules of the game. Cha muhimu awe fair.kweli kabisa ila duh mkewe anamaumivu hatari
kabisa ila yote atashinda tuSimpatii picha, kamalizia mwaka vibaya na kauanza vibaya pia. Ila kwakua yeye kwa sasa ana upper hand anaweza kutake advantage na kuanza kuset rules of the game. Cha muhimu awe fair.
Hahahhahaha... Mashost wako kwa majangaaa....Unaruhusiwa mkuu.
Mkuu huo mshtuko wa mke, mpaka mume apate nafasi ya kujishusha na kuelezea si ajabu gari haina vioo.duh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu
kabisa akileta ubabe wataumiza watotoMkuu huo mshtuko wa mke, mpaka mume apate nafasi ya kujishusha na kuelezea si ajabu gari haina vioo.
mnazijua mbinu balaaaaduh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu
mkuu nikatika kutafakari tumnazijua mbinu balaaaa
hahahahahahahahaaaa.... nimekubali mkuumkuu nikatika kutafakari tu